Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,250
- 4,817
🤣🤣🤣Tunapokuwa watu wazima tujitahidi kuleta vitu vyenye data zenye uhakika mada tunazopost ziendane na umri
Hahahaha herehoa avae
Hiz pic unatoaga wapi
Aika mbe 😅Shigha vichike mbwange❗❕🔥
Mshana,unamaanisha kwa Zena huku Mbezi beach?😀Ishu ni dipu sana Ila pia kuna asilimia nyingine nyingi kwamba ni zilezile bongo movie kuelekea 92OM
Karata zilichangwa na bwana tabasamu ili no 2 akae damu yake.. Ilk ndoto ilitimie ama itimizwe kwa by fosi by pawa.. Si mnakumbuka ile ngoma ya ...Ongea na mshua? Street noma kimenuka?
Sasa haya mafyekele ya cheusi bonge kuchomeka kuzidi makaa ya mawe yaliyounguzwa! kumewaumiza wengi sana .. Maaana kwenye kikoba chao, cheusi bonge ndio alikuwa kijumbe
Shida moja ya kikoba.. Kijumbe ndio hukaa na mshiko wote.. Sasa cheusi kachomeka kuzidi mkaa na hajaacha wosia wa kibubu kilipo🤣
Waswahel wanasema kufwa kufaana.. Hakuna aliyekubali kwamba anajua kibubu kilipo hata baada ya kufunga safari ya siri ili akaambulie walau masalia.. Wakamwambia hakuna hata senti mbovu🤣🙌🏿😭
Hata wewe ungetamani ardhi ipasuke mapande mawili ujichimbie..kijumbe kawaweza wengi... Wengine milango ya mbele imeshapindika kwa taharuki
Sasa bwana tabasamu angefanikiwa kamari yake angeshatangaza hali tete.. Kwenye hili anastahili pole maana hakupigwa chenga ya mwili tuu bali mpaka ya kivuli😀
Pande alilopasiwa masikio ya popo.. Limemuumiza mno bwana tabasamu maana ingekuwa sasa meno 32 yote nje.. Maana ingekuwa kama kumsukuma mlevi tu🙌🏿🤣
Vichogo vimepigwa bao la maudhi.. Taharuki ikiisha turudi uwanjani
Whatever the case.. Kitanda alichomazia mwendo mwingine si vema kumlaza mfuatizi.. NI UCHURO..!!!
Ishu no dipu sana na fukuto linazidi kila uchao..😎
View: https://www.instagram.com/reel/DeNXedeTxAN/?vrfl=MTQ2ZmFybm5jOWI5bw==
Naogopa🙂↔️Ndiyo ☺️
Picha halisi ya tukioIshu ni dipu sana Ila pia kuna asilimia nyingine nyingi kwamba ni zilezile bongo movie kuelekea 92OM

I'm confused bikozi the city has many kwa Zenazi😀
Acha kabisa. Many many!😀Mention a fewer😊