sniperl123098
Member
- Sep 19, 2016
- 25
- 6
Mtu yeyote alorudia mtihani kwa 4m 6 kwa pcm au pcb anipe mrejesho kweli kuna kutoka manake kuna ndugu yangu kapata 3 ya 15 anataka kurudia mshaurini VP kuna kupenya au inakuaje????
Huyo upeo wake ndio mwisho hapo, atafute kingine cha kufanya tuuu, kama unabisha arudie uone, utaleta feedback hapa hapaPcm math D chemi E physics S