Kwa yeyote anayemjua LUSHINGE MATHIAS,

Kwa yeyote anayemjua LUSHINGE MATHIAS,

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,435
Samahani sana waungwana nipo hapa kwa ajili ya kumtafta jamaa moja ambaye simfahamu lkn katika pitapita zangu juzi nikiwa kwenye gari nilikuta bahasha yenye ACADEMIC CERTIFICATE ambayo ilikua na jina la LUSHINGE MATHIAS, shule aliyotoka pameandikwa TEGERUKA SEC SChool,tafadhalini Sana wana jukwaa kwa yeyote Anayemjua huyu jamaa naomba amjulishe anitafte PM

Onyo:- Asiyehusika tusisumbuane
Pia samahani sana kwa wote ambao nitakua nimewaboa.
 
safi sana kijana unaonaje sasa hivyo vyeti ukavipeleka baraza ls mitihani likusaidie kumpa
 
nilimtafta fb na nikawa nimemtxt pamoja na maombi ya urafiki lkn mpaka sasa hakuna lolote
 
Back
Top Bottom