Calvinpaul
Member
- Dec 22, 2022
- 6
- 5
Pole.. kuna kampuni inaitwa D light, wenyewe huwa wanauza electronics kwa mkopo.. yaani kila mwezi unalipia.. sasa simu zao ikipata mwezi hujalipia.. kuna namna wana lock na huwezi kutumia..Daah...sijaelewa
Oh hapo nimeelewa mkuu. Kama ofisini wamegoma na huyo alomuuzia hapatikani hiyo inaweza kuwa hasara kwake atafute simu nyingine. Vinginevyo awasomeshe vizuri ofisini maana wao si wanataka pesa ndio maana wanakopesha,watu wasipolipa ni hasara kwao pia,nashangaa kwanini hawajamshukuru huyo jamaa maana akiamua kutupa hiyo simu ni hasara kwake na kwaoPole.. kuna kampuni inaitwa D light, wenyewe huwa wanauza electronics kwa mkopo.. yaani kila mwezi unalipia.. sasa simu zao ikipata mwezi hujalipia.. kuna namna wana lock na huwezi kutumia..
Sasa Jamaa ndo anaomba msaada wa kupata account namba/control namba ili alipie aendelee kupata mawasiliano..
Pole sana, nichek nikuelekezeHabari wana JF
Aise nina ndugu yangu alinunua simu kwa mtu hizi za Nokia ni Nokia C21 plus kumbe ile simu ilikuwa ya mkopo sasa amejaribu kwenda kwenye ofisi za simu husika yaani D light ili waweze kumpa namba ya kulipia ile simu wamegoma eti mpaka muhusika aje aliyeuza na aliyeuza hapatikani.
Sasa kwa yeyote yule anayeweza kutusaidia tukaipata account namba ipo ya maji
Namba iliyosajiriwa ipo na pia jina la mhusika lipo tatzo ni account namba ya kufanyia malipo.
Kwa hiyo hamfahamu aliyemuuzia? D Light wako sahihi, huyo ndugu yako yawezekana ni kibaka na ameiba hiyo simu. Kama hajaiba/hajauziwa simu ya wizi ampeleke aliyemwuuzia.Habari wana JF
Aise nina ndugu yangu alinunua simu kwa mtu hizi za Nokia ni Nokia C21 plus kumbe ile simu ilikuwa ya mkopo sasa amejaribu kwenda kwenye ofisi za simu husika yaani D light ili waweze kumpa namba ya kulipia ile simu wamegoma eti mpaka muhusika aje aliyeuza na aliyeuza hapatikani.
Sasa kwa yeyote yule anayeweza kutusaidia tukaipata account namba ipo ya maji
Namba iliyosajiriwa ipo na pia jina la mhusika lipo tatzo ni account namba ya kufanyia malipo.
Vielelezo vote anavyo mpaka boxKwa hiyo hamfahamu aliyemuuzia? D Light wako sahihi, huyo ndugu yako yawezekana ni kibaka na ameiba hiyo simu. Kama hajaiba/hajauziwa simu ya wizi ampeleke aliyemwuuzia.
Kama vielelezo vyote anavyo kwanini asijue kama hiyo simu ilinunuliwa kutoka D light kwa mkataba unaoisha kwa mda flani?Vielelezo vote anavyo mpaka box
Kuna kodi za kubonyeza afu unaomba namba ya akaunti wanakutumiaa au kwenye boksi huwa ipoHabari wana JF