Zile kubwa sijui huwa nichi ngapi.???Inategemea unataka kuweka tiles za size gani.
Room ya 4x5 m inweza kuchukua tiles kiasi gani
Possibly being pia??
Bei hujaweka????Kama ni tiles za 40cm*40cm, zitakwenda box 20 (kila box linakuwa na tiles 10)
Kama ni tiles za 45cm*45cm, zitakwenda box 12.5 (kila box linakuwa na tiles 12)
Acha uvivu kijana. Nenda madukani kaulizie bei. Tiles siyo vocha za muda wa maongezi kusema, bei ya Songea na bei ya Shinyanga lazima zinafanana.
Mkuu unapatikana mkoa ganiNina mil 25.. Tukikaa chini unaweza kunijengea nyumba ya vyumba vitatu kimoja self mpaka naamia?