Pole kwa kuuguza mwenza wako wa ndani.Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja na shida moja tu ambayo ni very serious hivyo nitahitaji sana msaada wenu wa kimawazo hasa kwa wale matabibu wa kada zote ...asili na kizungu...!! Wife anasumbuliwa sana na ugonjwa wa pid hali inayompelekea ashindwe kupata ujauzito. Tulipokwenda hospital doctor akampatia dawa lakin hazikumsaidia....katumia madawa karibu ya kila aina lakin wapi...kwa mara ya mwisho akatushaur kwamba mke wangu asafishwe... sasa kabla hatujafikia hatua iyo ya kumsafisha nikapata wazo la kuja umu jukwaan ili nipate japo msaada wa mawazo kwan naamin umu wapo watu wenye uweled wa juu na haya mambo. Naambatanisha matokeo ya vipimo vyake kwa msaada zaid. Naomben sana ....sana ...msaada wenu jaman kwan hii kitu imekuwa ikinisumbua sana sababu nampenda sana mke wanguna nimetoka nae mbali sana. Aksanten nawasilisha.View attachment 1996199View attachment 1996201
Mkuu pole sana kwa mke wako kuwa na maradhi ya PID tiba yake ninayo nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mke wako auguwe pole.Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja na shida moja tu ambayo ni very serious hivyo nitahitaji sana msaada wenu wa kimawazo hasa kwa wale matabibu wa kada zote ...asili na kizungu...!! Wife anasumbuliwa sana na ugonjwa wa pid hali inayompelekea ashindwe kupata ujauzito. Tulipokwenda hospital doctor akampatia dawa lakin hazikumsaidia....katumia madawa karibu ya kila aina lakin wapi...kwa mara ya mwisho akatushaur kwamba mke wangu asafishwe... sasa kabla hatujafikia hatua iyo ya kumsafisha nikapata wazo la kuja umu jukwaan ili nipate japo msaada wa mawazo kwan naamin umu wapo watu wenye uweled wa juu na haya mambo. Naambatanisha matokeo ya vipimo vyake kwa msaada zaid. Naomben sana ....sana ...msaada wenu jaman kwan hii kitu imekuwa ikinisumbua sana sababu nampenda sana mke wanguna nimetoka nae mbali sana. Aksanten nawasilisha.View attachment 1996199View attachment 1996201
HbrNawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja na shida moja tu ambayo ni very serious hivyo nitahitaji sana msaada wenu wa kimawazo hasa kwa wale matabibu wa kada zote ...asili na kizungu...!! Wife anasumbuliwa sana na ugonjwa wa pid hali inayompelekea ashindwe kupata ujauzito. Tulipokwenda hospital doctor akampatia dawa lakin hazikumsaidia....katumia madawa karibu ya kila aina lakin wapi...kwa mara ya mwisho akatushaur kwamba mke wangu asafishwe... sasa kabla hatujafikia hatua iyo ya kumsafisha nikapata wazo la kuja umu jukwaan ili nipate japo msaada wa mawazo kwan naamin umu wapo watu wenye uweled wa juu na haya mambo. Naambatanisha matokeo ya vipimo vyake kwa msaada zaid. Naomben sana ....sana ...msaada wenu jaman kwan hii kitu imekuwa ikinisumbua sana sababu nampenda sana mke wanguna nimetoka nae mbali sana. Aksanten nawasilisha.View attachment 1996199View attachment 1996201