Kwa wote, samahanini lakini

Hahah hayo huwa ni matokeo ya kumpenda sana mtu ambaye hajitambui. Yaani wewe unampenda kwa mapendi ya dhati anakuona umekuuuufaaaa kiasi kwamba huwezimwacha. Siku ukimwacha ndo anajipaisha loh............. wanasahau kuwa when a woman is fed up,......... Eti you cant live without me, we umekuwa oxygen?! kwamba sitowezapumua tena?
 
Hii kitu ilinitesa sana enzi zileeee za kipindi kileeee.....

Ila sasa weeee..... Hainisumbui aisee!!! ukileta za kuleta tupa kule, et mazoea mazoea my foot..... mfyuuuuuu!!!!!!

Akafie mbelee,tumekutana kimjini mjini
 
Well said sir/madam na hili ni tatizo hasa kwa wadada
 
Mie mwenyewe nashangaaga eti huwezi kuishi bila Mimi

siwezi kuishi bila wewe tumejuana ukubwani halafu uniambie siwezi kuishi bila wewe
 
Mnajazana uongo lakin kila mmoja akifika kwake anafyata mkia

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Pole sana...yamekukuta inaonekana,mwambie huyo jamaa aje mtaani kwetu kupiga sound,huku mabinti huwa hawaachwi labda waamue kukuacha wao...na hata wakikuacha wakikijua kichunchede chako ni mwendo wa mitama mwanzo mwisho!
 
Pole sana...yamekukuta inaonekana,mwambie huyo jamaa aje mtaani kwetu kupiga sound,huku mabinti huwa hawaachwi labda waamue kukuacha wao...na hata wakikuacha wakikijua kichunchede chako ni mwendo wa mitama mwanzo mwisho!

Hayajanikuta mkuu niko salama swaliminnnn
 
hii sumu inayomwaga hapa inaweka mahusiano mengi hatarini asee, me yangu macho
 
This ''you cant live without me'' sentence is really old fashion.....NOT APPLICABLE.(after three years i wont remember ur last name).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…