Kwa wote, samahanini lakini

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Wakuu,
Kuna watu wakiwa kwenye relationshp wanakuwa na mikwara sana kwa wapenzi wao sana sana wanaume, unakuta anamkosea gilfriend wake haombi hata msamaha, alafu mwanamke akichoka hayo manyanyaso anaamua kuachana na wewe mwanaume utasikia "You cant live without me,utarudi kwangu tu"

Kama ni Mwanamke unayejitambua hebu jiulize uwezi ishi bila yeye kwani amekuwa oxygen usiweze kuishi kuishi wenye hii dunia bila yeye,Kwan yeye ndo mwanaume pekee kwenye hii dunia,na kama umezaliwa peke yako kwanini ushidwe kuishi bila mwanaume kisa umeachana naye katiki mapenz,Kuna baadh ya wasichana wamegeuzwa watumwa wa mapenzi kwa kuamini awezi kuishi bila mwanaume fulani kisa tu wamezoeana na wamekaa kwenye mahusianio muda mrefu.

Ninachoamini mimi hakuna kitu kinashindiikana kusahaulika katika hii dunia mungu ameumba kusahau na kila Binadamu anasahau, Jifunze kufanya maamuzi agumu usikubali kuwa mtumwa wa mapenzi kwa Mtu yoyote siyo mwanaume wala mwanamke ambaye hakupendi usiruhusu akuchezee hisia
zako eti kisa unampenda. Jifunze kuacha siyo kila kitu duniani kimeubwa ili kidumu vitu vingine ni mitihani tu na inapita,Usipojifunza kuacha utaendelea kuwa Mtumwa kwa Mwanaume /Mwanamke fulani ambaye amegundua kuwa wewe ni dhaifu kwake na anatumia udhaifu wako kukutesa. Ni hayo tu.

MIE NIMEMALIZA
 
Umenena vema, wenye tabia hiyo wakome mara moja. Na wala usikubali kua kwenye relationship isio kupa heshima
 
Hii kitu ilinitesa sana enzi zileeee za kipindi kileeee.....

Ila sasa weeee..... Hainisumbui aisee!!! ukileta za kuleta tupa kule, et mazoea mazoea my foot..... mfyuuuuuu!!!!!!

haha! Unaendeleaje bidada.
 
Mwanzo wa mahusiano mabaya. Hizi ni dalili mbaya, hizi ni indicator kwamba unze kuvumilia mapema, mateke na makofi vitafuata.
 
Ni kweli maana unaweza kung'ang'ania sehemu moja kumbe faraja iko sehemu nyingine lile ni daraja tu la kuvukia.

Omba Mungu akupe akili ya Jitambue
 
Hii kitu ilinitesa sana enzi zileeee za kipindi kileeee.....

Ila sasa weeee..... Hainisumbui aisee!!! ukileta za kuleta tupa kule, et mazoea mazoea my foot..... mfyuuuuuu!!!!!!

Mhhhh taratibu ....
 
ulichelewa kumwacha, toka kipindi kile nilikwambia achana naye huyo hakufai, sasa naona umefanya la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…