F firstone Member Joined Nov 18, 2010 Posts 13 Reaction score 1 Dec 7, 2012 #1 WANAJF. Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini
WANAJF. Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Dec 7, 2012 #2 firstone said: wanajf. Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini Click to expand... mawzo yako hayooo
firstone said: wanajf. Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini Click to expand... mawzo yako hayooo
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 704 Dec 7, 2012 #4 firstone said: WANAJF. Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini Click to expand... hapa ni full kumeza..ili nipasue paper...hii ndo elimu ya bongo at the end utaratibu wa kazi tutafahamu pindi tukiajiriwa..
firstone said: WANAJF. Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini Click to expand... hapa ni full kumeza..ili nipasue paper...hii ndo elimu ya bongo at the end utaratibu wa kazi tutafahamu pindi tukiajiriwa..
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Dec 7, 2012 #5 Ushauri mzuri sana, ingawa naona kuna watu wanakejeli
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Dec 7, 2012 #6 bhululu said: ushauri mzuri sana, ingawa naona kuna watu wanakejeli Click to expand... ni kweli ila jamaa kakosea vipo baadhi ya vitu vya kumeza na vitu vya kuelewa
bhululu said: ushauri mzuri sana, ingawa naona kuna watu wanakejeli Click to expand... ni kweli ila jamaa kakosea vipo baadhi ya vitu vya kumeza na vitu vya kuelewa
eliasy JF-Expert Member Joined Nov 9, 2012 Posts 455 Reaction score 54 Dec 8, 2012 #7 BHULULU said: Ushauri mzuri sana, ingawa naona kuna watu wanakejeli Click to expand... Watu 2punguzeni kejeli.
BHULULU said: Ushauri mzuri sana, ingawa naona kuna watu wanakejeli Click to expand... Watu 2punguzeni kejeli.
The Son JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 459 Reaction score 59 Dec 8, 2012 #8 Kwanza kumeza kuelewa baadaye,Tanzania ishu ni kufaulu mitihani.