Kwa wewe unayeanza maisha

Unaachaje rangi za vyombo kama izi kwenye kabati lako rangi ni nzuri na inavutiaView attachment 1761517
Nyeusi ni nzuri lakini inategemea na chombo unachochukua mi siipendi sana na kama vitakuepo basi ni vichache rangi yake haing'ai ivyo linafanya kabati lako la vyombo kuto onekana vizuri imagine umeweka vyombo vyeusi tu kabatini kwa kweli ni Giza tupu ha ha ha ha
 
Jamani ukikosa izi rangi za vyombo basi wewe ujui kuchagua vyombo naomba niishie hapa Mimi ni mchaguaji mzuri sana wa vyombo tukienda kununua vyombo tunaweza tukakesha uko kuchagua napenda vyombo vizuri na vinavyovutia tutaendelea siku nyingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…