Typing error my der ha ha ha thank upoleni kwa uchozi[emoji2]
Right blueTyping error my der ha ha ha thank u
Right blue ni rangi nzuri sana kwenye vyombo sio blue tukumbuke ilo ni right blueRight blueView attachment 1761445
Inafata rangi ya pink.hii ni rangi nzuri sana kama unataka kabati lako livutie au vyombo vyako viwe na mvutoRight blue ni rangi nzuri sana kwenye vyombo sio blue tukumbuke ilo ni right blue
Nyekundu siipendi sana na kama unachukua basi viwe vyombo vichache tuInafata rangi ya pink.hii ni rangi nzuri sana kama unataka kabati lako livutie au vyombo vyako viwe na mvuto
Ukitaka kuamini ili angalia aya makapu pink na right blue zinavyovutia nyekundu inamezwa na izi rangi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Blue iloiva sio nzuri Mimi binafsi siipendi kwenye vyombo na kama nitaichukua basi kutakuwa na vyombo vichache sana labda upande wa mandoo etc.Ukitaka kuamini ili angalia aya makapu pink na right blue zinavyovutia nyekundu inamezwa na izi rangi.View attachment 1761470
Kuna maluni hii rangi ni kari sana pia usikose.Blue iloiva sio nzuri Mimi binafsi siipendi kwenye vyombo na kama nitaichukua basi kutakuwa na vyombo vichache sana labda upande wa mandoo etc.
Light blue I thinkRight blue ama ni light blue??!!
Kuna hii pia sijajua ni rangi ganiLight blue I think
hiyo ni rangi nyekunduKuna hii pia sijajua ni rangi ganiView attachment 1761480
Sio nyekundu bhanahiyo ni rangi nyekundu
Hii nzuri kwa saani za mifupa au za udongo au mapoti au sufulia design hii hiiSio nyekundu bhana
Rangi ya njano,kijani sana,orange epuka kwenye vyombo hazina mvuto kabisa na kama unachukua chukua chache tu!!Hii nzuri kwa saani za mifupa au za udongo au mapoti au sufulia design hii hiiView attachment 1761490
Izi ndo rangi sasa za vyombo nzuri na zenye mvutoRangi ya njano,kijani sana,orange epuka kwenye vyombo hazina mvuto kabisa na kama unachukua chukua chache tu!!