<br />kuna thread nyingi humu za kuchakachua modem, we tafuta tu.
Hapo awali ili kununua Data Bundle kwa kutumia simu au modem ilikuwa kama ifuatavyo:1. Kwanza modem au simu iwe salio la kutosha2. Nenda sehemu ya kuandika meseji kwa mfano unataka 50MB kwa sh.2000 unaandika 50MB kisha unatuma kwenda namba 123.Lakini hii huduma haikubali siku hizi pamoja na kuwapigia customer care wa Voda bila mafanikio, kwa njia mbadala ninayotumia mimi ni kutoa line kwenye modem na kuiweka kwenye simu ya kawaida na kisha unapiga namba *149*01# kisha chagua cheka internet na kufuata maelezo yanayofuataWadau mi nimenunua modem ya voda juzi huwa naweka laini kwenye simu na kuunganisha internet kwa sh 2000 ambayo huwa inawahi kuisha na pia nashidwa kudownload chochote kwani hela inaisha na pia kwenye menyu ya connection kuna sehemu iliyoandikwa call ambayo ina namba kama kwenye simu ila sehemu ya kupiga haipo active. Kwa ufupi naombeni mawazo yenu ili niweze kufurahia hii modem yangu ya voda!
Wadau mi nimenunua modem ya voda juzi huwa naweka laini kwenye simu na kuunganisha internet kwa sh 2000 ambayo huwa inawahi kuisha na pia nashidwa kudownload chochote kwani hela inaisha na pia kwenye menyu ya connection kuna sehemu iliyoandikwa call ambayo ina namba kama kwenye simu ila sehemu ya kupiga haipo active. Kwa ufupi naombeni mawazo yenu ili niweze kufurahia hii modem yangu ya voda!
hiyo haichakachuki kwa imei mpaka upate software
Hapo awali ili kununua Data Bundle kwa kutumia simu au modem ilikuwa kama ifuatavyo:1. Kwanza modem au simu iwe salio la kutosha2. Nenda sehemu ya kuandika meseji kwa mfano unataka 50MB kwa sh.2000 unaandika 50MB kisha unatuma kwenda namba 123.Lakini hii huduma haikubali siku hizi pamoja na kuwapigia customer care wa Voda bila mafanikio, kwa njia mbadala ninayotumia mimi ni kutoa line kwenye modem na kuiweka kwenye simu ya kawaida na kisha unapiga namba *149*01# kisha chagua cheka internet na kufuata maelezo yanayofuata
tupe details zaidi
hiyo ni kweli kabisa mkuu. lakini mimi sijui kwa nini nikitumia sim card yangu ya voda au airtel kwenye modem iliyochakachuliwa ya airtel net inakuja na kukata lakini nikitumia simu yangu ya nokia 3120 Classic kama modem net inakuwa na speed ya ajabu na haikatikati. je hii handset yangu haiwezi kuwa hatarini kuvamiwa na viruses?? pls help to furnish me with an answer.
kwani unatumia software gani ku kuconect internet