Kwa wenyeji wa mkoa wa Mara

kamtu33

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
998
Reaction score
409
Hii kitu inahusika sana hasa hii miezi ya mwisho wa mwaka..
 

Attachments

  • 1416407134146.jpg
    48.3 KB · Views: 800
huo ugali mbona kama vile umewekewa food colour?
 
Mkuu ulivyolitaja bada mpaka moyo umeshtuka maana nimekumbuka home moja kwa moja...
Pole sana mkuu, na hongera pia. Uzuri wa hapa jamvini kila kitu kinapatikana kwa kweli ni raha sana
 
Nakumbuka home,dec iwahi tu nikajikumbushie kichuri na damu.
 
tatizo watani zangu hawa wakishashiba wanaanza kutafuta sababu za kugechana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…