Kwa wenye uzoefu na tabia ya wanawake.

Kwa wenye uzoefu na tabia ya wanawake.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Hivi mke wa mtu anapokuwa na urafiki mkubwa na wifi yake wenye same age au wameachana kidogo au kwa ndugu zangu waislam inapotokea mke mkubwa kuwa na urafiki mkubwa yaani ule wa kushibana na mke mdogo. Je kuna hii mineno mineno ya hawa inawezekana wana fichiana siri nzito. Je hii dhana ina ka ukweli
 
Kuna uwezekano ikawa hivyo japokuwa sio mara zote.
 
Ukweli kuhusu nini........?
 
Ukweli kuhusu nini........?

Huu ukumbi umevamiwa na under 18. kwa hiyo mambo atuyaweki wazi sana.
ukweli wa kuweza kuwa na hujuma kwa mwenye mali
 
Mi nijuavyo mawifi walio wengi hawawezi kufichiana siri nani atakubali mke wa kaka yake agegedwe??
Vilevile kwa wakewenza hawezi mfichia siri mwenzie sana sana ataifichua ili abaki peke yake.
Swali lingine tafadhali !!!
 
Hivi mke wa mtu anapokuwa na urafiki mkubwa na wifi yake wenye same age au wameachana kidogo au kwa ndugu zangu waislam inapotokea mke mkubwa kuwa na urafiki mkubwa yaani ule wa kushibana na mke mdogo. Je kuna hii mineno mineno ya hawa inawezekana wana fichiana siri nzito. Je hii dhana ina ka ukweli

Sometimes YES sometimes NO
 
Mi nijuavyo mawifi walio wengi hawawezi kufichiana siri nani atakubali mke wa kaka yake agegedwe??
Vilevile kwa wakewenza hawezi mfichia siri mwenzie sana sana ataifichua ili abaki peke yake.
Swali lingine tafadhali !!!

kumbe wewe bado mtoto mdogo eeeh.
 
Mi nijuavyo mawifi walio wengi hawawezi kufichiana siri nani atakubali mke wa kaka yake agegedwe??
Vilevile kwa wakewenza hawezi mfichia siri mwenzie sana sana ataifichua ili abaki peke yake.
Swali lingine tafadhali !!!
Naam niko na wewe hapo...point za ukweli mtupu:A S shade:
 
Back
Top Bottom