Yaani ana Bachelor ila mpaka umsaidie kuuliza maswali duuPoleni na kazi wakuu..nnamdogo wangu ameitwa kwa ajili ya Interview siku ya jumanne ameniomba nimfanyie rehersal kidogo...sina uzoefu na maswali wanayouliza kwenye Interview...
NB. Interview inahusiana na kazi usambazaji na uafisa masoko wa magazeti kwenye kampuni ya inayochapisha magazeti..ilimuhitaji kijana mwenye shahada ya kwanza ya Biashara
Naomba mwenye uzoefu anieleweshe niblash mdogo wangu
Yaani ana Bachelor ila mpaka umsaidie kuuliza maswali duu
Mkuu mtu akihitaji msaada msaidie kama unahisi huwezi kumsaidia unakausha tu sio kumkejeli, maisha hayapo hivo mkuu, hakuna anaejua kila kituAmezoea kidesa huyo kwahiyo anatafuta posible
Ana degree ya chupi huyo mdogo wako?
Haiwezekani msomi mzima wa degree,halafu hajiamini na maswali ya interview inayohusu kazi yake!!
Tuwe serious,sio kulea ujinga ujinga!!
Ila ifikie kipindi vijana tufunguke kifikra na kufikiri nje ya mazoea. Kama huwezi kutengeneza fursa kwa kutumia elimu yako na wataka kuajiriwa basi jitahidi kuwa BORA SANA na kuwa tayari kulionesha hilo kwa yeyote mwenye kuhitaji ujuzi wako tena kwa kujiamini. Kwani si amesoma na kufuzu wasiwasi wake nini? Tuache kukariri, kama hawezi kujibu maswali kuhusu kile anachohisi anaweza humu anasaidikaje?
Subiri akanyolewe kwenye interview, hakuna namna mdogo wako na wewe mwenyewe hamjiamini!We mpuuzi kweli sorry to say kwani nimekwambia hawezi kujibu nimesema possible questions za Interview ni zipi alaaa sku nyingine usikoment kama huna la kujibu
Naomba unijibu, ni kampuni gani? nafasi gani? Na inyervie gani oral au written?Poleni na kazi wakuu..nnamdogo wangu ameitwa kwa ajili ya Interview siku ya jumanne ameniomba nimfanyie rehersal kidogo...sina uzoefu na maswali wanayouliza kwenye Interview...
NB. Interview inahusiana na kazi usambazaji na uafisa masoko wa magazeti kwenye kampuni ya inayochapisha magazeti..ilimuhitaji kijana mwenye shahada ya kwanza ya Biashara
Naomba mwenye uzoefu anieleweshe niblash mdogo wangu