Kwa wenye uzoefu na Interview questions

Kwa wenye uzoefu na Interview questions

Nuran Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
273
Reaction score
234
Poleni na kazi wakuu..nnamdogo wangu ameitwa kwa ajili ya Interview siku ya jumanne ameniomba nimfanyie rehersal kidogo...sina uzoefu na maswali wanayouliza kwenye Interview...

NB. Interview inahusiana na kazi usambazaji na uafisa masoko wa magazeti kwenye kampuni ya inayochapisha magazeti..ilimuhitaji kijana mwenye shahada ya kwanza ya Biashara

Naomba mwenye uzoefu anieleweshe niblash mdogo wangu
 
Mkuu mdogo wako anajua huna uzoefu wa maswali ya interview?
 
Poleni na kazi wakuu..nnamdogo wangu ameitwa kwa ajili ya Interview siku ya jumanne ameniomba nimfanyie rehersal kidogo...sina uzoefu na maswali wanayouliza kwenye Interview...

NB. Interview inahusiana na kazi usambazaji na uafisa masoko wa magazeti kwenye kampuni ya inayochapisha magazeti..ilimuhitaji kijana mwenye shahada ya kwanza ya Biashara

Naomba mwenye uzoefu anieleweshe niblash mdogo wangu
Yaani ana Bachelor ila mpaka umsaidie kuuliza maswali duu
 
Ila ifikie kipindi vijana tufunguke kifikra na kufikiri nje ya mazoea. Kama huwezi kutengeneza fursa kwa kutumia elimu yako na wataka kuajiriwa basi jitahidi kuwa BORA SANA na kuwa tayari kulionesha hilo kwa yeyote mwenye kuhitaji ujuzi wako tena kwa kujiamini. Kwani si amesoma na kufuzu wasiwasi wake nini? Tuache kukariri, kama hawezi kujibu maswali kuhusu kile anachohisi anaweza humu anasaidikaje?
 
Amezoea kidesa huyo kwahiyo anatafuta posible
Mkuu mtu akihitaji msaada msaidie kama unahisi huwezi kumsaidia unakausha tu sio kumkejeli, maisha hayapo hivo mkuu, hakuna anaejua kila kitu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ana degree ya chupi huyo mdogo wako?
Haiwezekani msomi mzima wa degree,halafu hajiamini na maswali ya interview inayohusu kazi yake!!
Tuwe serious,sio kulea ujinga ujinga!!
 
Cha muhimu hapo ni awathibitishie wenye kampuni, yeye atasaidiaje kampuni kuuza magazeti kufikia nakala 200,000 kwa siku kutoka nakala 5,000 kwa siku. kama ana uwezo huo kazi ni ya kwake hakuna mshindani.
 
Ana degree ya chupi huyo mdogo wako?
Haiwezekani msomi mzima wa degree,halafu hajiamini na maswali ya interview inayohusu kazi yake!!
Tuwe serious,sio kulea ujinga ujinga!!

We mpuuzi kweli sorry to say kwani nimekwambia hawezi kujibu nimesema possible questions za Interview ni zipi alaaa sku nyingine usikoment kama huna la kujibu
 
Ila ifikie kipindi vijana tufunguke kifikra na kufikiri nje ya mazoea. Kama huwezi kutengeneza fursa kwa kutumia elimu yako na wataka kuajiriwa basi jitahidi kuwa BORA SANA na kuwa tayari kulionesha hilo kwa yeyote mwenye kuhitaji ujuzi wako tena kwa kujiamini. Kwani si amesoma na kufuzu wasiwasi wake nini? Tuache kukariri, kama hawezi kujibu maswali kuhusu kile anachohisi anaweza humu anasaidikaje?

Unajikuta kama uko smart kweli kwenye kila kitu kumbe yamkini hunalolote sorry to say..tatizo watz ni wavivu kusoma pengine hata post haujaisoma...nimeuliza possible questions za Interview sijakuambia watamuuliza maswali gani...soma,elewa , tafakari then come up with the right answers
 
We mpuuzi kweli sorry to say kwani nimekwambia hawezi kujibu nimesema possible questions za Interview ni zipi alaaa sku nyingine usikoment kama huna la kujibu
Subiri akanyolewe kwenye interview, hakuna namna mdogo wako na wewe mwenyewe hamjiamini!
 
Japo sio career yangu na sikuwahi kufanya kwenye kampuni binafsi, mimi ninefanya kwenye taasisi tu ila nashauri a google aanze kuzisoma common question in intreview, kisha ajue kwa muhtasari vision, mission, n. k, ajue pia duties za hiyo nafasi na kwanini anadhani yeye anafaa na atayafikishaje malengo ya kampuni. Moja ya mfano hapo chini ila google
 
Attachments

  • FB_IMG_1526740014664.jpg
    FB_IMG_1526740014664.jpg
    36.9 KB · Views: 57
Poleni na kazi wakuu..nnamdogo wangu ameitwa kwa ajili ya Interview siku ya jumanne ameniomba nimfanyie rehersal kidogo...sina uzoefu na maswali wanayouliza kwenye Interview...

NB. Interview inahusiana na kazi usambazaji na uafisa masoko wa magazeti kwenye kampuni ya inayochapisha magazeti..ilimuhitaji kijana mwenye shahada ya kwanza ya Biashara

Naomba mwenye uzoefu anieleweshe niblash mdogo wangu
Naomba unijibu, ni kampuni gani? nafasi gani? Na inyervie gani oral au written?
 
Back
Top Bottom