Labda kwa msaada wa hii chart unaweza kutambua aina yako ya nyweleNywele zangu ni nyepesi na nilaini kiasi hata kama sijapaka dawa.like shombeshombe kwa mbali.
Sasa sijui ni type gani
We ni me?Oraah Sisters,,Mimi ni chalii mwenye asili ya msomali nywele zangu ni laini sana alaf nimezifuga ni ndefu kinyama,,nyie mamanzi najua mnajua aina za mafuta ya kuzifanya zisimame nikizichana,,msaada please
Yap Mimi ni chalii Dadalai.
Mimi dawa siweki kabisa. Nabana mchicha na ninatumia products za Cantu za natural hair. Wanakati mwingine napaka castor oil au Alovela oil.Habari wapendwa.
Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu.
Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na wengine wajifunze
Kwa mimi nywele zangu zina miezi mitatu tangu nianze kusuka, kwa sasa nabana na mchicha unabaki mrefu tu. Natumia dawa ya dark &love ya box, natumia stiming yoyote yenye asali.
Huwa nalitach pindi ninapoona nywele zangu zimeotea,nikilitach nakata ncha.
Kila j.pili huwa naosha na kizifanyia stiming, zinarefuka kwa kweli.
Tunaomba nawe utupe njia unazotumia kutunza nywele zako tujifunze.
Amani iwe nanyi...
Unaweza kushare brand ya aloevera oil unayotumia please?Mimi dawa siweki kabisa. Nabana mchicha na ninatumia products za Cantu za natural hair. Wanakati mwingine napaka castor oil au Alovela oil.
Hiyo hapo