Kwa wenye kupenda kuwa na nywele ndefu.njooni tujuzane jinsi ya kuzitunza

Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,247
2,204
Habari wapendwa.
Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu.

Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na wengine wajifunze

Kwa mimi nywele zangu zina miezi mitatu tangu nianze kusuka, kwa sasa nabana na mchicha unabaki mrefu tu. Natumia dawa ya dark &love ya box, natumia stiming yoyote yenye asali.

Huwa nalitach pindi ninapoona nywele zangu zimeotea,nikilitach nakata ncha.
Kila j.pili huwa naosha na kizifanyia stiming, zinarefuka kwa kweli.

Tunaomba nawe utupe njia unazotumia kutunza nywele zako tujifunze.

Amani iwe nanyi...
 
Nywele zangu ni nyepesi na nilaini kiasi hata kama sijapaka dawa.like shombeshombe kwa mbali.
Sasa sijui ni type gani
 
Nywele zangu ni nyepesi na nilaini kiasi hata kama sijapaka dawa.like shombeshombe kwa mbali.
Sasa sijui ni type gani
Labda kwa msaada wa hii chart unaweza kutambua aina yako ya nywele
20200521_172801.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oraah Sisters,,Mimi ni chalii mwenye asili ya msomali nywele zangu ni laini sana alaf nimezifuga ni ndefu kinyama,,nyie mamanzi najua mnajua aina za mafuta ya kuzifanya zisimame nikizichana,,msaada please.
 
Habari wapendwa.
Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu.

Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na wengine wajifunze

Kwa mimi nywele zangu zina miezi mitatu tangu nianze kusuka, kwa sasa nabana na mchicha unabaki mrefu tu. Natumia dawa ya dark &love ya box, natumia stiming yoyote yenye asali.

Huwa nalitach pindi ninapoona nywele zangu zimeotea,nikilitach nakata ncha.
Kila j.pili huwa naosha na kizifanyia stiming, zinarefuka kwa kweli.

Tunaomba nawe utupe njia unazotumia kutunza nywele zako tujifunze.

Amani iwe nanyi...
Mimi dawa siweki kabisa. Nabana mchicha na ninatumia products za Cantu za natural hair. Wanakati mwingine napaka castor oil au Alovela oil.
 
zing zong.png
oshea mrenda typical, siyo bamia bali mrenda pori hasa! una maua ya pink, navimbegu vya kijani rityambwe! haztakatika kamwe na inaongeza uimara wa kuchoka kutoka kwenye shina la Hair follicles pinacles,
 
Mie nimechoka dawa...nimeacha dawa nna mwaka mmoja ..natumia steaming ya yai na asali na Nazi.! Nikichoka natumia steaming ya mega..Natural hair inahitaji wito!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom