Kwa wazee wa singeli...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Jamani wakuu nautafuta Sana ule wimbo kina sehemu anasema viroba tupa kule saivi mwendo wa Savannah pls mwenye nao naomba anitumie
 
Siku hizi mwendo wa vibabu, Vi Ben ten Tupa kule.

Hiyo singeli imetoka majuzi hapo, nimeisahau jina tu.
Wameimba watu wawili, mwanamke na mwanaume
 
Siku hizi mwendo wa vibabu, Vi Ben ten Tupa kule.

Hiyo singeli imetoka majuzi hapo, nimeisahau jina tu.
Wameimba watu wawili, mwanamke na mwanaume
Jamani inaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…