Tunaohitaji ni sisi, weka conditions zako, tukiafikiana tufanye biashara, punguza uswahiliUnalipa cash? Mimi uwezo wa kukuletea mizigo upo ila habari ya kuzungushana kwenye malipo sipendelei. Mwingine anakuandikia cheque kumbe akaunti haina pesa.
Unataka ufuate mwenyewe au uletewe?Natumaini hamjambo .....
Nahitaji nafaka tofauti tofauti kwa bei ya jumla toka kwenu, nafaka hizo ni kama ifuatavyo:-
1. Ngano isiyokobolewa
2. Shayili isiyokobolewa
3. Mtama mweupe (selena)
4. Mahindi makavu
5. Uwele ..
Kwa aliye na mazao haya au moja ya hayo tafadhali ani-PM au apige simu nambari 0787 228078 au 0655 533 543.
Tunanunua kwa kilo ...au ujazo wa gunia la debe sita. Tuko Mwanza jijini.
Nasubiri majbu toka kwenu.
Pia use me kama unanunua mahindi toka sehemu yeyote au unachagua kwa mfano RuvumaTunaohitaji ni sisi, weka conditions zako, tukiafikiana tufanye biashara, punguza uswahili
Kwani mahindi yana utofauti, mi nahitaji nafaka tajwa hapa nilipo Mwanza.Pia use me kama unanunua mahindi toka sehemu yeyote au unachagua kwa mfano Ruvuma
Ila kwenye mahindi ni vzr utaje bei unanunua kiasi gani kwa kilo endapo utaletewa mwanza
Ok. MkuuKuletewa ni vizuri zaidi
Uko sahihi mkuu inatakiwa awe waziAngalieni,hamna deal yoyote hapo! Huwezi taka kitu,halafu kwa kilo huku husemi bei. It is nonsense! Utatoka Ruvuma bila kujua bei,utapigwa,na utapotea hata njia ya kurudi kwenu. Watchout!