Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,622
- 5,251
Ipo store mzaz chek hyo pictureFlash sport ikoje. mkuu inapatikana kwa. Store yetu hebu nielekeze
ni ya kulipia lakini, sema ni app nzuri niliwa tumia kipindi cha nyuma unastream hata na edgeIpo store mzaz chek hyo picture View attachment 341007
Chief tuelekeze namna ya kununua apps asee maana nyingi ni cheap sema tatzo weng hatujui jinsi yakulink hzo account zetu za bank na storeni ya kulipia lakini, sema ni app nzuri niliwa tumia kipindi cha nyuma unastream hata na edge
Kwel hii nayo bonge la dudeTUBEMATE
kwaajili ya kudownload videos kwa kutumia mobile data au wifi.
View attachment 341153
View attachment 341157
View attachment 341159
Chief tuelekeze namna ya kununua apps asee maana nyingi ni cheap sema tatzo weng hatujui jinsi yakulink hzo account zetu za bank na store
Hiyo inazungua download app inayoitwa Snaptube from google websiteTUBEMATE
kwaajili ya kudownload videos kwa kutumia mobile data au wifi.
View attachment 341153
View attachment 341157
View attachment 341159
Hiyo snaptube inaruhusu video ziende kwenye Gallery baada ya kidownload? Au nayo inadownload na kuzificha?Hiyo inazungua download app inayoitwa Snaptube from google website
Mkuu hivi inawezekana kwel kuinstail app from other source zaidi ya store kwa windows phone?Hiyo inazungua download app inayoitwa Snaptube from google website
Crdb nna MasterCardunatakiwa tu uwe na visa card au master card, unatumia bank gani?
nenda crdb wakaifungue iweze fanya manunuzi ya online, ikishafunguka ndio utajaza details za kadi yako store na kuweza kufanya manunuzi.Crdb nna MasterCard
yap inawezekana ila mpaka simu iwe developer unlocked, download sdk halafu jisajili kama developer utaweza. kama unapenda kucheat games, app za bure, kumod vitu mbalimbali developer unlock ni muhimuMkuu hivi inawezekana kwel kuinstail app from other source zaidi ya store kwa windows phone?
Asante mkuu ngoja ntalishughulikia hilonenda crdb wakaifungue iweze fanya manunuzi ya online, ikishafunguka ndio utajaza details za kadi yako store na kuweza kufanya manunuzi.
Ndio tupeane maelekezo ya kina ya namna ambayo tutaweza. Kufanya hiyo kitu kwani wengine ni wageni kwa hizo mamboyap inawezekana ila mpaka simu iwe developer unlocked, download sdk halafu jisajili kama developer utaweza. kama unapenda kucheat games, app za bure, kumod vitu mbalimbali developer unlock ni muhimu
Dah ila kuwa developer ni risk sana mkuu niliua kilumia changi 625 mwaka jana baada ya kupata windows10 developer update nilipoishusha ilikaa cku chache sana ikawa haiwaki inaandika error fail to find the bootable option ndo ikawa mwisho wakeyap inawezekana ila mpaka simu iwe developer unlocked, download sdk halafu jisajili kama developer utaweza. kama unapenda kucheat games, app za bure, kumod vitu mbalimbali developer unlock ni muhimu