Nimeshaitumia but nilishaiuza, blackberry playbook kwa nchi zetu zisizo na wifi unaitumia kwa kufanya bridging na your blackberry phone kupata internet kwa kutumia ile ile service uliyolipia kwenye your phone, sema inabid uwe na 3g brackbery phone ndo inaleta active internet sana,
Playbook iliniboa kwenye aplications nyingi za ki bb phones ikabid niiuze tena kwa hasara, sema uzuri wa playbook ni cheap kwenye shops nyingi asia esp india and malaysia ni haizid 250 usd which is reasonable tena kule wifi ni kawaida sehem nyingi,
Nowdays natumia micromax funbook only with latest android known as ice cream sandwich nayo ina allow kufanya bridging na brackberry au kutumia 3g modem through mini usb port yaan ni full raha, kwa mazingira yetu playbook haina ujanja zaidi ya kufanya bridging