Ahahahah amevurugwa anaona mamilioni yanachelewa kuingia kwa akauntihuku ni kula tu umekosea jukwaa
Pole sanaAhsante sana. Si unajua kuchanganyikiwa
YaaniAhahahah amevurugwa anaona mamilioni yanachelewa kuingia kwa akaunti
Samahani wakuu, ningependa kuuliza kwa wazoefu na watumiaji wa SKRILL.
Ningependa kujua uki withdraw hela kutoka kwenye account yako ya skrill kuja kwenye account ya bank, huwa inachukua muda gani mpaka kuingia?
Nashukuru sana mkuu ngoja niendelee kusubiri

Siku za weekend usihesabu![]()
Masaa hadi 3days..ila Mara nying ndani ya 2daysSamahani wakuu, ningependa kuuliza kwa wazoefu na watumiaji wa SKRILL.
Ningependa kujua uki withdraw hela kutoka kwenye account yako ya skrill kuja kwenye account ya bank, huwa inachukua muda gani mpaka kuingia?
mkuu vipi, mkwanja ulifika?Nashukuru sana mkuu ngoja niendelee kusubiri
Umewahi tumia hyo njia mkuuKwani usitumie send waves pesa inaingia haraka tu na fasta kwenye namba ya simu
Kama nitkauwa nimekosea utanirekebisha, nachojua send wave mtumaji anabidi awe ameiunga na mobile phone wallet kama mpesa, itgo pesa, au MTN n.k huwezi kuiunga na bank account au debit/credit card kama funding source na inafana kazi wa baadhi ya nchi za Africa je itakuwaje kama mtumaji yuko nchi za ulaya au Marekani ambapo haifanyi kazi.Kwani usitumie send waves pesa inaingia haraka tu na fasta kwenye namba ya simu