Kwa watumiaji wa iPhones msaada tafadhali

Damy Scotty

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
717
454
Habari wakuu,

Kuna iPhone 4s inazngua ukimpgia mtu akpokea humsikii na hata yeye hakusikii, ila cha ajabu nkitumia whatsApp call inaongea fresh tu na tunaskilizana'

Kuna mtu alinambia tatzo hardware nmejaribu kuchek nayo but still bring the same shit..

Msaada kwa anaejua nin tatzo.

Nawasilisha
 
Ndo tatizo la kutumia second handed kisa iPhone?
 
Back
Top Bottom