umenistua nikajua unatoa icloud kweny iphone iliyo okotwa kumbe hadi iwe ya kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hizo zilizookotwa majanga. Inaweza kukuletea matatizo, kifupi zote zinatoka lakini hatutaki matatizo mzee. Umeokota sawa, je huyo aliyeidondosha hajairipoti simu yake? Je kama hiyo simu imefanyiwa uharifu kisha ikatupwa kusudi? Ama kama mwenye simu alifanyiwa uhalifu mm na wewe tutajuaje? Ni vizuri ikawa yako mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Icloud kwenye iphone inatoka vizuri tu, cha muhimu status ya Device iwe clean( Icloud status MUST be clean, GSMA status can either be Clean or lost) hapo ICLOUD inatolewa vizuri tu then una restore iPhone yako na latest firmware then una Set ICLOUD yako mpya. Sema ka service ka kuitoa ICLOUD ni gharama.umenistua nikajua unatoa icloud kweny iphone iliyo okotwa kumbe hadi iwe ya kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kufanya process ya kuitoa hiyo ICLOUD lazima ucheck status ya Apple iCloud ID kama ni CLEAN au LOST, na hii process inachukua only 5 minutes. Gharama ya kucheck status ya Apple iCloud ID ni nafuu sanaa.Mzee hizo zilizookotwa majanga. Inaweza kukuletea matatizo, kifupi zote zinatoka lakini hatutaki matatizo mzee. Umeokota sawa, je huyo aliyeidondosha hajairipoti simu yake? Je kama hiyo simu imefanyiwa uharifu kisha ikatupwa kusudi? Ama kama mwenye simu alifanyiwa uhalifu mm na wewe tutajuaje? Ni vizuri ikawa yako mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ninayo iphone 5se ina icloud garama yake inaweza kuwa ngapi kuitoa?Kabla ya kufanya process ya kuitoa hiyo ICLOUD lazima ucheck status ya Apple iCloud ID kama ni CLEAN au LOST, na hii process inachukua only 5 minutes. Gharama ya kucheck status ya Apple iCloud ID ni nafuu sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nna 6s nu zile hadi uweke chip yaan gevey ili iweze ku support netwrk sijui unanisaidiaje mana nlitafuta kariakoo nikakosaKwa mwenye uhitaji tuwasiliane mimi natoa zote zenye Ios 13 na kuendelea muda masaa mawili tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukwelii....Simply bado haiwezekani.maana simu za apple zilizo katika droo ni za kuokota ama za wizi.
Ni case chache sana za watu kusahau password.
Sent using Jamii Forums mobile app