pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,974 Reaction score 4,265 Jul 27, 2013 #1 Nimedownload applications lakini hazionekani kwenye screen. Kwenye file manager zipo.nashindwa kuzitumia.MSAADA
Nimedownload applications lakini hazionekani kwenye screen. Kwenye file manager zipo.nashindwa kuzitumia.MSAADA
G Godfreymk Member Joined Mar 8, 2011 Posts 20 Reaction score 2 Jul 27, 2013 #2 Tupa simu utapata presha bure
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jul 28, 2013 #3 mkuu umezi install hizo application? au umedownload tu
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,974 Reaction score 4,265 Jul 30, 2013 Thread starter #4 chief-mkwawa said: mkuu umezi install hizo application? au umedownload tu Click to expand... Nimezipata.ni livewallpaper.zingine huwa hazionekani kwenye screen lakini wakati una set wallpapers zinaonekana
chief-mkwawa said: mkuu umezi install hizo application? au umedownload tu Click to expand... Nimezipata.ni livewallpaper.zingine huwa hazionekani kwenye screen lakini wakati una set wallpapers zinaonekana
bona JF-Expert Member Joined Nov 6, 2009 Posts 3,798 Reaction score 1,444 Jul 30, 2013 #5 hey nimeisoma spec zake its good vp naiweza ipata wapi nje ya duka za tigo? je naweza weka line yoyote nnayotaka au mpaka tigo tu?
hey nimeisoma spec zake its good vp naiweza ipata wapi nje ya duka za tigo? je naweza weka line yoyote nnayotaka au mpaka tigo tu?