Kwa watumiaji wa barabara ya KAWAWA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wadau mnaotumia barabara ya kawawa,hasa kuanzia maeneo ya MOROKO HOTELI KUELEKEA MOROKO YA OFIS ZA EATELI,leo nimeona kampuni ya STRABAG imeanza kuichakata barabara kwa ajili ya mrad wa mabas yaendayo kasi,,,,nahis kutakua na folen kama ile ya morogoro road,zoez hilo nimeliona limeanza leo,so mtakaoitumia barabara hii mjipange tu na folen,kwa sasa nadhan wamefika KINONDON KWA MANYANYA
 
Yaani, nimepita jioni hii nikashangaa tu, hata kutoa taarifa TBC1 hakuna!

Kesho ni mwendo wa saa 5.00 alfajiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom