Hapa bwana tunajivunia kuitwa watanzania,tunajivumilia pia kuitwa wadanganyika kwa sababu tumeshadanganywa mengi especially na hao wabunge wetu a.k.a wazee wa posho,kila ahadi nyiiiingi maendeleo hkn,halafu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania wizi mtupu......