Hivi kwann baadhi ya watangazaji wa radio hupenda kutumia neno 'baby' ktk vipindi vyao?
Mfano mzuri ni kwa watangazaji wa kipindi cha XXL cha cloudsfm. Hasa Adamu mchomvu na B dozen. Utasikia wanasema ''endelea ku'tune in' the people's station XXL cloudsfm 'baby' enjoy".
Nauliza, hivi huyu baby ni nani?