Kwa watalamu wa Ku design package

Kwa watalamu wa Ku design package

prooo

Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
39
Reaction score
11
Jamani wana jf,nataka nianzishe biashara,flan hivi,ila nmekwama katika kupata ni wapi ambapo wataweza kunitengenezea package kama zile za diamond karanga ,so msaada jamani,kwa watu wenye ujuzi wa hili, au kama anafahamu sehemu husika ambapo ntapata huduma hiyo
 
Jamani wana jf,nataka nianzishe biashara,flan hivi,ila nmekwama katika kupata ni wapi ambapo wataweza kunitengenezea package kama zle za diamond karanga ,ko msaada jaman,kwa watu wenye ujuzi wa hili, au kama anafahamu sehemu husika ambapo ntapata HUDUMA hyo
nenda kwenye hicho kiwanda ukaulizie
 
Jamani wana jf,nataka nianzishe biashara,flan hivi,ila nmekwama katika kupata ni wapi ambapo wataweza kunitengenezea package kama zile za diamond karanga ,so msaada jamani,kwa watu wenye ujuzi wa hili, au kama anafahamu sehemu husika ambapo ntapata huduma hiyo
Cello nahisi hua wanatengeneza package
 
Nenda SIDO wanawata'laam na ushauri mzuri
 
Samahani mkuu,hao watu wana-design au kutengeneza hizo package materials?.
Kwanza tengeneza design ya muonekano wake halafu nenda jamana printers au omar parkeging ndiyo wanaprint.

Kudesign huwabnafanya 350,000 ukiwa tayari njoo inbox
 
Back
Top Bottom