OME123 JF-Expert Member Oct 4, 2010 1,498 605 May 5, 2012 #1 Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza akaupata ujauzito? Naombeeni mnisaidie
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza akaupata ujauzito? Naombeeni mnisaidie
phina JF-Expert Member Jul 18, 2011 414 126 May 5, 2012 #2 mzunguko wake wa hedhi ni wa siku ngapi?? Kwa nini msitumie kinga lakini-mjiepushe na kuumiza kichwa huku?? Au tumieni uzazi wa mpango..
mzunguko wake wa hedhi ni wa siku ngapi?? Kwa nini msitumie kinga lakini-mjiepushe na kuumiza kichwa huku?? Au tumieni uzazi wa mpango..