mkali mimi
Member
- Aug 7, 2012
- 78
- 15
Kwa uzoefu wangu, tumia taa za D.C 12V (direct current) But hiyo battery ni ''N'' ngapi? endapo ni N80 na kuendelea basi utaweza washa taa 6 kwa mpigo. But nakushauri kununua solar system. Mi kilakitu natumia sola power. Kasoro pasi tuu
Kama unataka low cost nunua taa za volt 12 Energy saver mara nyingi wanaziuza km taa za solar. Tafuta za LED ndo zinadumu mda mrefu na utaweza kuitumia betri yako moja kwa bila kifaa kingine cha ziada. Otherwise unaweza nunua inverter ambayo cost yake ni kubwa kidogo tafuta pure sinewave ili kuepuka kuunguza vifaa vyako mara kwa mara, Kwavile unahitaji kutumia taa tu unaweza kwenda kwa mafundi wa Electrical/Electronics waliobobea wanaweza kubadili hizo taa za energy saver zikatumia d.c moja kwa moja au wakakutengenezea simple inverter kwa bei ndogo.Nna bettry ya gari 12Volts, nahitaji kuitumia kuwashia taa kadhaa (energy savers) kama 5 tu ivi, coz maeneo niliopo umeme wa tanesco unasumbua balaa. Je kuna means yoyote ya kufanya amplification? au chochote? je ni safe kuconnect kwa ajili ya nyumba nzima?? (taa tu, kama 8 ivi) if possible naomba kujua any additional low cost device kinachoweza kuhitajika. Thanks.
Kama unataka low cost nunua taa za volt 12 Energy saver mara nyingi wanaziuza km taa za solar. Tafuta za LED ndo zinadumu mda mrefu na utaweza kuitumia betri yako moja kwa bila kifaa kingine cha ziada. Otherwise unaweza nunua inverter ambayo cost yake ni kubwa kidogo tafuta pure sinewave ili kuepuka kuunguza vifaa vyako mara kwa mara, Kwavile unahitaji kutumia taa tu unaweza kwenda kwa mafundi wa Electrical/Electronics waliobobea wanaweza kubadili hizo taa za energy saver zikatumia d.c moja kwa moja au wakakutengenezea simple inverter kwa bei ndogo.
Kwa uzoefu wangu, tumia taa za D.C 12V (direct current) But hiyo battery ni ''N'' ngapi? endapo ni N80 na kuendelea basi utaweza washa taa 6 kwa mpigo. But nakushauri kununua solar system. Mi kilakitu natumia sola power. Kasoro pasi tuu
Kama unataka low cost nunua taa za volt 12 Energy saver mara nyingi wanaziuza km taa za solar. Tafuta za LED ndo zinadumu mda mrefu na utaweza kuitumia betri yako moja kwa bila kifaa kingine cha ziada. Otherwise unaweza nunua inverter ambayo cost yake ni kubwa kidogo tafuta pure sinewave ili kuepuka kuunguza vifaa vyako mara kwa mara, Kwavile unahitaji kutumia taa tu unaweza kwenda kwa mafundi wa Electrical/Electronics waliobobea wanaweza kubadili hizo taa za energy saver zikatumia d.c moja kwa moja au wakakutengenezea simple inverter kwa bei ndogo.
Bei za inverter zipoje?
Yategemea!!
Zina rate 75,000-300,000 kutegemea na watt(kuna watt 500 na kuendelea)
Mpaka fridge unakamua na solar?
je imekucost pesa ngapi kupata full Tanesco?
Bei za inverter zipoje?