Hata H Kairuki wameandika requirements ni form6 PCB au diploma in clinical medicine xo diploma in nursing kusoma medicine ni ndoto labda akasome degree ya nursing.
Inawezeka hajui kitu huyo mkuu! kuna Dr kaniPM,Kasema yuko hospitali ya Tengeru Arusha, amesema yeye alianza na nursing baadae akaenda MD Muhimbili kwa equivalent ya diploma ya nursing na sasa ni Dr bingwa wa watoto.Kuna wengine na wamesema moja anadoma KCMC na mwingine nae kasema anasoma KAIRUKI kwa equivalent za nursing.Tunashukuru msaada wenu jamani.