Haha au kwenye "stopped reading 5 years ago".Hongera sana kwako mkuu nahisi walio wengi wataangukia kwenye Neurotic reader wacha tuone.
nimemaliza kimoja tu. Oblomov.Safi na mpaka sasa ushasoma vitabu vingapi?
Hahahahah Kwa hiyo nifute jina lako kwenye list ya Introvert reader na niliweke kwenye Polygamist ama tuache liwe kote kote..Anyway nimesoma soma vingi ila kwa sasa napambana na The Dark Arena cha Mario Puzo pamoja na The Power of Positve Thniking cha Norman tatizo muda unapata dakika 3 ile unafungua kitabu tu hivu unasikia king'ora nje ya ofisi unakifunga chap ukijua ni Rais amekuja kukufanyia Ziara ya kushtukiza so hadi urude kwenye mood siku imeisha.nimemaliza kimoja tu. Oblomov.
naendelea na The Origin of Species nimetoka nacho toka mwaka Jana. na Justine cha Marquis de Sade. oh I'm also a polygamist
been a lazy year.
what are you reading?
tatizo muda unapata dakika 3 ile unafungua kitabu tu hivu unasikia king'ora nje ya ofisi unakifunga chap ukijua ni Rais amekuja kukufanyia Ziara ya kushtukiza so hadi urude kwenye mood siku imeisha.
Safi sana mkuu mimi mwenyewe naenda na ile Calender ya siku huwa najitahidi nisipitwe na neno la siku, Mbali na biblia hakuna kitabu kingine unakisoma?
Rich dad poor dad- Robert Kiyosaki....mambo ya financial.Safi sana kitabu gani ulikisoma kikakusaidia kubadili mtazamo wako juu ya jambo fulani?