Mimi kila nikifungua ni mziki tuu...Natanguliza salamu.
Kwa wale wote mnaosikiliza Wasafi FM, ni kipi hasa cha maana mnachosikiliza huko. Nimejaribu kuifatilia hii radio station kwa siku mbili lakini hakuna cha maana, vipindi hovyo kabisa.
Yaani hakuna cha maana huko ni bora TBC FM mara milioni mia.
Nimemaliza.
Povu ruksa.
Siku mbili hazitoshi kutoa hukumu hio , angalau ungesikiliza wiki nzima kama sio mwezi kabisaNatanguliza salamu.
Kwa wale wote mnaosikiliza Wasafi FM, ni kipi hasa cha maana mnachosikiliza huko. Nimejaribu kuifatilia hii radio station kwa siku mbili lakini hakuna cha maana, vipindi hovyo kabisa.
Yaani hakuna cha maana huko ni bora TBC FM mara milioni mia.
Nimemaliza.
Povu ruksa.
Ungesikiliza Redio UhuruNatanguliza salamu.
Kwa wale wote mnaosikiliza Wasafi FM, ni kipi hasa cha maana mnachosikiliza huko. Nimejaribu kuifatilia hii radio station kwa siku mbili lakini hakuna cha maana, vipindi hovyo kabisa.
Yaani hakuna cha maana huko ni bora TBC FM mara milioni mia.
Nimemaliza.
Povu ruksa.
Hakuna kitu pale ni kundi la vijana wahuni mi ctak ata kuickia iyo wasafi fmNatanguliza salamu.