N ndugufred Senior Member Joined Dec 30, 2011 Posts 137 Reaction score 44 May 3, 2014 #1 Kwa wale wapenzi na wafatiliaj wa muzik kama mimi, kuna dada anaitwa Zahara mwenye nyimbo flan inaitwa Loliwe, kama hukuwa umeisikiliza album yote yenye huo wimbo inaitwa Loliwe hvy hvy nakushauri itafute uisikilize ni ya ukweli sana.
Kwa wale wapenzi na wafatiliaj wa muzik kama mimi, kuna dada anaitwa Zahara mwenye nyimbo flan inaitwa Loliwe, kama hukuwa umeisikiliza album yote yenye huo wimbo inaitwa Loliwe hvy hvy nakushauri itafute uisikilize ni ya ukweli sana.
X xrotcivx Senior Member Joined Jun 12, 2013 Posts 106 Reaction score 90 Dec 26, 2014 #2 Itafute ndiza..uyu dada anaimwa hakuna mfano