Kwa wapenzi wa kilimo

fellyjr

Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
53
Reaction score
21
Agri Business tunajishughulisha na maswala yote ya kilimo. Pia tunatoa ushauri kuhusu kilimo, tunaanda bustani za kisasa (green house), tunauza madawa ya kilimo, tunatengeneza mabanda ya kuku wa kisasa, tunaweka njia za kisasa za umwagiliaji (drip irrigation )na mengineyo mengi kuhusu kilimo na ufugaji.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwenye +255 682 526 217
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…