Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
- Thread starter
-
- #21
Umeongea kibingwa sana kaka mkubwa, tuwape tu maua yao wadadawapo kweli wanaotafuta vibunda, ila tukiangalia maisha yetu unga unga mwana na bado mchumba anakuja ghetto anaondoka alalamiki tunaendelea kusonga tu
Kikubwa wote muenjoyValentine huko kwa wazungu bn kinongonyoso hii ni siku ya kumbomoa Binti wa watu mpaka akose hamu ya kula
Single sugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi na hiyo siku naona vyote havinihusu
Single sugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tushakataa, kwanza tutakuwa kazini hiyo siku.
HahahahahahahaSingle sugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yoo yooo, niaje rafiki Kichwa KichafuCulture Me Once Again!
I can't afford love....Hadi leo hujapata na mwezi ndio huu!
Kabisa raha ya penzi wote mpendane mahaba muoneshane, penzi la wizi la kufichana kama vipisi vya bangi halinogi,Raha ya penzi liwe mutual, sio mashaka kama unaoga nje.
Mi nimejipata, ila hiyo siku si mmesema itakuwa Kwaresma jamani? Itakuwaje sasa mi kaka mzuri wangu ni churchman 🥹🥹
Maamuzi sahihi maana nayo ukikosea utaiona dunia umeibeba kichwaniI can't afford love....
Not at the moment
Yani jamani Mungu ana majaribu? Sawa tu.Kama ni mkatoliki huna namna zaidi ya kutulia kwa huzuni 🥲[emoji1]
AnayemsagaMtaachana tu
Tuko pamoja mkuu.Huu uzi na hiyo siku naona vyote havinihusu
Hahahahaha, safi , tubaki wasomajiTuko pamoja mkuu.
Hebu kuweni na shukrani jamani, its the thought that counts🤣🤣🤣Zawadi ambazo hazizidi elf 15 ..hahahahahaha..wadada matapeli sana
Kwakweli, hamna namna.Hahahahaha, safi , tubaki wasomaji