mkuu...ni lazma watumie 19 minutes!!!
sasa kaka hii ndo nini?
hapana tatizo watu wanapokuwa wanawavusha hawo wanajikaririsha kwamba lazma mtu atakayerudisha tochi awe kati ya wale wawili walioenda! Hebu jaribu vizuri tena bila kujiwekea mipaka kama hiyo kama vipi tumia vijiti au vkaratasi kwa mfano wa watu!
assume A yupo opposite na B, C, D na torch ipo kwa B, C, D
A= 1
B= 2
C= 5
D= 10
C&D + A + A&B
10+1+2= 13 mins
Ni usiku wa manane. Kuna vijana wanne; A,B,C na D, wanahitaji kuvuka daraja lenye uwezo wa kuvusha watu wasiozidi wawili kwa wakati mmoja. Wote wanne wanahitajika wawe ng'ambo ya daraja baada ya dakika 17.. Kila mmoja ana speed yake ya kuvuka daraja: A yupo very fast anawezavuka kwa 1 min. B kwa 2 mins. C kwa 5 mins. D kwa 10 mins. Kama wakienda wawili alie fast hawez kumuharakisha alie slow kwahiyo speed itakayotumika ni ya slow. Pia kila wavukapo lazma wawe na tochi(tochi ipo moja). Mfano: A na D wakienda watatumia 10 mins na D akarudisha tochi,10mins jumla 20mins na watakua wamefeli. Je watavukaje kwa 17mins?
A na B wanavuka 2 min
A anarudisha torch 1 min
C na D wanavuka 10 min
B anarudisha torch 2 min
A na B wanavuka 2 min
jumla 17 min
kumbuka wote wanatakiwa wavuke daraja kwa mujibu wa maelezo yako A hajavuka daraja
oooh sawa mkuu nisahau ku 1
assume A yupo opposite na B, C, D na torch ipo kwa B, C, D
A= 1
B= 2
C= 5
D= 10
C&D A A&B A [C na D wanavuka kwa 10mins halafu wanampa torch A ambaye atavuka kwa kutumia 1min, atamchukua B na watavuka kwa 2mins then A atarudi nga'mbo ya pili]
10 1 2 1= 14 mins [jumla ya muda watatumia]
mkuu unataka tuanze kuandika essay kwenye maths?
"Wote wanne wanahitajika wawe ng'ambo ya daraja" muonekano wa swali unaonesha initially wote wapo at same location and minimal time is 19 mins.. vinginevyo swali lako halijajitosheleza kimaelezo. Kwa assumption hiyo iwapo at least mmoja atakuwa at opposite direction ni lazima upate <=17 mins.
acha ubishi na kujifanya unajua. Kwani hivi nini;A na B wakivuka 2mins na A akarudisha tochi 1mins(sum 3mins) halafu C na D wakavuka 10mins na B akarudisha toch(sum 12mins) halafu A na B wakamalizia kwa 2 mins. 3 12 2=17