Kwa Wanawake wote wa JF

Zaidi ya kufurahi. Na hivi Yanga tumeshinda, basi hapa najihisi vizuri sana. Upako umenishukia mida hii 😊😊
Kumbe nawe yanga?
 

Kwenye hosia wa mama hapo. Nashukuru ndiyo umekuwa msingi wangu kila nimtazamapo mwanamke. Nilianza kuyaishi hayo nikiwa A level.
Hakika nafurahi kuwa sigombani wala siweki chuki kwa mwanamke. Napenda kuwaona wakifanikiwa.

Heshima kwenu wanawake wote. Mungu awatunze na kuwa mioyo stahiki.
 
Naam wanawake ni chombo bora na muhimu sana hasa akitambua nafasi yake katika jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…