Kwa Wanawake wa Dar es salaam

Kwa style hiyo utawapata wengi sana aisee jamaaa
 
Ndio mkuu wangu nipo ndani ndani huku vijijini
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Vijijini ndani ndani ndio wapi mkuu Tanzania yetu kubwa sana. Au vijiji vya Gosheni? ha ha ha ha...
 


Najuwa we ni mwanamme wa Dar, je uko radhi kuliwa/kupakuliwa pia? Usione haibu, tunajuwa wengi wenu huu ndiyo mchezo wenu.
 
Ndio maana dhambi haziishi hapa duniani yani una mke halafu unachepuka?
By the way huyo mkeo hakutoshi? bas tubu na oa mwingine kabla MUNGU hajakuadhibu.
 
ngoja na mimi nije na siredi ya wanawake wa ushirombo.
 
HitWe,Badoo,InstaGram,Instamessage,Tinder,MaGroup Ya Whatsapp,Hi5,Tagged.
Kote huko umekosa hoes adi humu,Nigga you are not serious!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…