Ninachokiona hapa ni kuwa. Wanawake wote wamelipinga swala la kurewind mechi na mtengeneza njia ( mtoa bikira) kwa nguvu zote ! ( nguvu za hoja pamoja na hoja za nguvu) kitu ambacho kinanifanya nifikili kwa Mara ya pili kuwa kuna uwezekano mkubwa ikawa kweli kabisa sema wanakataa tu ili ....... :what::what::what: