Hivi wanaume mnadhani kutoa bikira ni booooooooooooooooooonge la dili eeeh?????
Hahahaha
Sio kihivyo aisee
Wanasahaulika kama ex yoyote...
Na wanatimuliwa kama ex yoyote
Yaani litoke huko lilikotoka liombe game apewe kwa kuwa tu alitoa bikira? Bado sana aisee....
Daah Umkimbize Alietoa Wavu!!??
Hahaha.
For'eal tho, kuna ushindi fulani nadhani kila mwanaume huwa anajisikia kama amewahi kumsaidia binti yeyote kuvuka usichana wake. My ex kila mara ananikumbusha kuwa nitabaki kuwa mwanaume special maishani mwake, sababu kubwa ni hiyo. And i beat my chest like...
Sasa muombe game uone utakavyochenjiwa.... teh teh
Wanawake wanaweza ongea maneno ukajiona bingwa kumbe mwenzio hayupo huko kabisa
Image broken..resend / re-attach please!
Kimsingi, mwanamama yeyote mliyewahi na mahusiano yaliyotawaliwa na furaha zaidi ya karaha, na mkaachana katika mazingira mazuri. Mara nyingi sana kunakuwa na nafasi za throwback. Haijalishi ulifungua wewe ama lah.
So fellas, that's the trick. Treat your women right, always.
Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!