Kwa wanawake tu

Semeni mtayosema lakini ukweli ni kuwa hii ni siri ya ndani, ya wawili. Hao hao wanaopiga mikelele huku ya kujifanya watakatifu ndio haohao wanapokuwa chumbani na wenzao wanakuwa wa kwanza kubong'oa na kuelekeza. Unafiki ulianza siku nyingi. Kama hupendi huo mchezo huna haja ya kutangaza huku, mwenzio atajua tu atapoona hutaki. Na kama unaupenda najua huwezi kutangaza hapa, hutaki aibu. Ndio unafiki wenyewe wa kusema usichotenda na kutenda usichosema. Bora kunyamaza. Nimesema ni siri ya ndani.
 

Nimependa sana hii
Da Sophy wanasema tabia halisi ya mtu ni ile anayoifanya akiwa mafichoni ....!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu mtu afanyacho me nadhani ni uamuzi wa mtu hivyo basi hata mtu kutoa 0713.....amependa sidhani kama unalazimishwa na mtu anayejitambua huwezi kukubali kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…