Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Feb 23, 2012 #141 Hiyo HIV test anaitoa kabla au after game ? Jibu likiwa yuko Pos. Au Neg kwa jibu lolote lile ukishaliona ndiyo iwe nini ?
Hiyo HIV test anaitoa kabla au after game ? Jibu likiwa yuko Pos. Au Neg kwa jibu lolote lile ukishaliona ndiyo iwe nini ?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Feb 23, 2012 #142 Fixed Point said: Good! simu si zipo mkwe? tena kuna hadi airtime za promotion.................... kata wewe................ niPM namba yako nitakupigia Click to expand... Kama ulikuwa unatania shauri zako. NshakuPM namba na simu yangu battery iko full.
Fixed Point said: Good! simu si zipo mkwe? tena kuna hadi airtime za promotion.................... kata wewe................ niPM namba yako nitakupigia Click to expand... Kama ulikuwa unatania shauri zako. NshakuPM namba na simu yangu battery iko full.
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 23, 2012 #143 Asprin said: Kama ulikuwa unatania shauri zako. NshakuPM namba na simu yangu battery iko full. Click to expand... sitanii mkwe, stay tuned!
Asprin said: Kama ulikuwa unatania shauri zako. NshakuPM namba na simu yangu battery iko full. Click to expand... sitanii mkwe, stay tuned!
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Feb 23, 2012 #144 mmmmmmmmh! ngoja nipite zangu ya wanawake tu hii......ila i got much experience to share kuhusu hii srd na my experts opinion in medical field. asakuta OUT!
mmmmmmmmh! ngoja nipite zangu ya wanawake tu hii......ila i got much experience to share kuhusu hii srd na my experts opinion in medical field. asakuta OUT!
Doyi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 1,783 Reaction score 2,208 Feb 23, 2012 #145 Kongosho said: Nafanya, bila a second thought. Click to expand... NAKUKUBALI SANA WEWE KONGOSHO AZANIA MWENZANGU.ULIPGA 1.7 fom 4 ULISTAHILI MANA NAONA.BIG UP MWANA
Kongosho said: Nafanya, bila a second thought. Click to expand... NAKUKUBALI SANA WEWE KONGOSHO AZANIA MWENZANGU.ULIPGA 1.7 fom 4 ULISTAHILI MANA NAONA.BIG UP MWANA
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Feb 23, 2012 #146 Fixed Point said: sitanii mkwe, stay tuned! Click to expand... Am tuned!
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 23, 2012 #147 Doyi said: NAKUKUBALI SANA WEWE KONGOSHO AZANIA MWENZANGU.ULIPGA 1.7 fom 4 ULISTAHILI MANA NAONA.BIG UP MWANA Click to expand... mwenzio kongosho kwa sasa ni mdada, huyo wa Azania ni mwingine labda..................... ha haaaaaaaa, zimwi likujualo......................
Doyi said: NAKUKUBALI SANA WEWE KONGOSHO AZANIA MWENZANGU.ULIPGA 1.7 fom 4 ULISTAHILI MANA NAONA.BIG UP MWANA Click to expand... mwenzio kongosho kwa sasa ni mdada, huyo wa Azania ni mwingine labda..................... ha haaaaaaaa, zimwi likujualo......................
Madabwada JF-Expert Member Joined May 8, 2009 Posts 540 Reaction score 320 Feb 23, 2012 #148 Fixed Point said: sitanii mkwe, stay tuned! Click to expand... FP ... habari yako bana!
Michael Scofield JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 1,225 Reaction score 473 Feb 23, 2012 #149 Asprin said: Kama ulikuwa unatania shauri zako. NshakuPM namba na simu yangu battery iko full. Click to expand... Fixed Point said: sitanii mkwe, stay tuned! Click to expand... Asprin said: Am tuned! Click to expand... Mbona naona maruweruwe hapa! Du! chenga kibao. Asprini umenizunguka sio! Yaani dk kadhaa tu, mchezo umeisha na FP kashaingia line? Naenda kusema kwa mamaa!
Asprin said: Kama ulikuwa unatania shauri zako. NshakuPM namba na simu yangu battery iko full. Click to expand... Fixed Point said: sitanii mkwe, stay tuned! Click to expand... Asprin said: Am tuned! Click to expand... Mbona naona maruweruwe hapa! Du! chenga kibao. Asprini umenizunguka sio! Yaani dk kadhaa tu, mchezo umeisha na FP kashaingia line? Naenda kusema kwa mamaa!
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 23, 2012 #150 Madabwada said: FP ... habari yako bana! Click to expand... Salama bana................. habari ya wewe?
Madabwada said: FP ... habari yako bana! Click to expand... Salama bana................. habari ya wewe?
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 23, 2012 #151 Michael Scofield said: Mbona naona maruweruwe hapa! Du! chenga kibao. Asprini umenizunguka sio! Yaani dk kadhaa tu, mchezo umeisha na FP kashaingia line? Naenda kusema kwa mamaa! Click to expand... Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe?
Michael Scofield said: Mbona naona maruweruwe hapa! Du! chenga kibao. Asprini umenizunguka sio! Yaani dk kadhaa tu, mchezo umeisha na FP kashaingia line? Naenda kusema kwa mamaa! Click to expand... Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe?
Michael Scofield JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 1,225 Reaction score 473 Feb 23, 2012 #152 Fixed Point said: Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe? Click to expand... Nami naomba tupange kimya kimya kabla hajarudi ni-PM na mimi, nimzunguke huyu babu kudadeki!
Fixed Point said: Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe? Click to expand... Nami naomba tupange kimya kimya kabla hajarudi ni-PM na mimi, nimzunguke huyu babu kudadeki!
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 23, 2012 #153 Michael Scofield said: Nami naomba tupange kimya kimya kabla hajarudi ni-PM na mimi, nimzunguke huyu babu kudadeki! Click to expand... hakuna wa kuzungukwa
Michael Scofield said: Nami naomba tupange kimya kimya kabla hajarudi ni-PM na mimi, nimzunguke huyu babu kudadeki! Click to expand... hakuna wa kuzungukwa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,508 Reaction score 911,249 Feb 23, 2012 #154 kweli kabisaaa Click to expand... ukweli upi........................ningemwaga radhi lakini tumebaguliwa hapa.................huu ni unyanyasaji wa kijinsia.......lol
kweli kabisaaa Click to expand... ukweli upi........................ningemwaga radhi lakini tumebaguliwa hapa.................huu ni unyanyasaji wa kijinsia.......lol
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,586 Feb 23, 2012 #155 Mwali we kwa maswali ya mitego!! Mie sikubali yaani nitatoka humo chumbani speed ya ajabu...............hata kama nilipima jana yake.
Mwali we kwa maswali ya mitego!! Mie sikubali yaani nitatoka humo chumbani speed ya ajabu...............hata kama nilipima jana yake.
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 528 Feb 24, 2012 #156 hapo hakuna kukimbia kama unajiamini maana endapo unajirusha basi hapo hapatoshi na hii ndio the best way ya kukusaidia maana nje ya hapo tutaisha
hapo hakuna kukimbia kama unajiamini maana endapo unajirusha basi hapo hapatoshi na hii ndio the best way ya kukusaidia maana nje ya hapo tutaisha