katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Nanini nasema kweli majuzi kuna mtu kapata mtu mtandaoni .Unahangaika wewe...ile 60m ushapewa?
SijakuelewaNawaza yule nduguyo unaemsumbua akusaidie hela unaumwa..kumbe haya ndio matumizi yake yaani mb..kitunguu swaum!
Mimi siwataki nataka marafiki wakuchart naoMimi najielewa,nataka chura![emoji4][emoji4][emoji4]
Umeshaacha mapenzi ya jinsia moja?[emoji41][emoji41][emoji41]Mimi siwataki nataka marafiki wakuchart nao
Sio vizuriWeka picha zao tuwajue
Mapenzi ya jinsia moja yanatapisha sana [emoji35][emoji35][emoji35]Umeshaacha mapenzi ya jinsia moja?[emoji41][emoji41][emoji41]
Aisee kweli jamani ila kwangu mimi muchumba kapatikana mtaani seriously .Mtandaoni ni kama mitaani sema fake life na pretenders ni wengi sana kiasi kupelekea watu kuona mitandao kama chaka la kujifichia na mambo yao
Muhimu ni kuomba Mungu tu akupe chaguo stahiki na moyo wako na mkaendana, wapo watu wanaolewa na wanaume wanatokea hum humu mitandaoni na bado wako kwenye ndoa zao
hongera yakoAisee kweli jamani ila kwangu mimi muchumba kapatikana mtaani seriously .