Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 405
mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati
It is good. But nimeinyaka sehemu kuwa tatizo la nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa lina uhusiano na nyota yako. Kama ni kali kuliko ya mwenzio, basi u ll never xperience da problem n vise versa. Kwa cku hizi kwa kuwa ma-she wengi wanaamini ktk ndumba ili kuwakamata wenzi wao kitendo kinachomaanisha kushusha nyota plus kuzama chumvini ambayo ni ulaji wa uchafu wa mwanamke, obviously, da problem shall be persistent. Ndivyo wasemavyo.
Tafuta specimen tukufundishe hiyo practical!practical wapi??????? maana naona hiyo ni theory tu:coffee::coffee:
au ndio yale yale (vyuo vya kibongo) theory only bila ya ku practice