everlenk sijakuona kitambo sana aisee. Nimeku-miss si uongo. Za Uholanzi*clears throat*?
mkuu naongea kwa uzoefu labda kwa kuongezea QT ila sio vyuo vya maana maana wengi wanakuwa akili zimeshadumaa anajirahisisha kwa walimu na wanafunzi wenye akili ili afaulu, enzi nasoma nimekula sana hela za mama mmoja mke wa kigogo fulani akaona haitoshi akanitunuku na penzi,sio mimi tu wengi iliwatokeaInsecurities tu. Kama anastahili kwenda shule na uwezo, mpeleke shule. Kama unastahili kuwa nae, utakuwa naye tu, hata wapinzani wawe kina nani.
kama ni mapishi hata phd nitakusomesha haina shidaAhhh!!! Na wewe kutoa ni moyo usembe ni utajiri, wacha wasomeshe tu wanasaidia kuondoa moja ya maradhi yanayotukumba nchi hii ambayo ni maradhi, ujinga na umaskini. Wewe huoni unaweza kuwa umeyaondoa yote kwa wakati Mmoja kwa kumpatia mwenzio Elimu, utabariwa duniani mpaka mbinguni.
Hahhhahah best haya bana nami nimekumiss zaidi acha tu, Uholanzi wamenikwapua kila kitu ile nchi siyo kabisa wanataka kuvunja matumaini yangu ya kubeba ndoo Ngoja waje nyumbani nitawafundisha adabu hahahahah.....Hongera bana naona mambo yako si haba kijana wangu anakufanyia kazi nzuri sana
kama ni mapishi hata phd nitakusomesha haina shida
mkuu naongea kwa uzoefu labda kwa kuongezea QT ila sio vyuo vya maana maana wengi wanakuwa akili zimeshadumaa anajirahisisha kwa walimu na wanafunzi wenye akili ili afaulu, enzi nasoma nimekula sana hela za mama mmoja mke wa kigogo fulani akaona haitoshi akanitunuku na penzi,sio mimi tu wengi iliwatokea
Hahaha. Kwa kweli nashukuru sana. Kazi unayoifanya ya ku-baby sit vijana wangu wa baadaye si ndogo. Uendelee kubarikiwa.
Naanzisha mgomo kama mtoa mada hahahhaha......
hata asiponipikia mimi poa na akafungue mgahawa wakeAisee kumbe unatoa unategemea kurudishiwa? Usifanye hivyo katika maisha yako utateseka sana na utagombana na wengi, kama ipo ipo tu, tenda wema nenda zako usingoje shukrani.........
BTW hata hayo mapishi ukimpatia unafikiri utapikiwa wewe na Kula wewe utasubiri saaaaanaaaaaa.........