KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,101
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chura inaleta msosi mezani mkuuDah...kwa mwanamke cha msingi ni..churaaa
Cc: biheviaristi
[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
So hao ma banker na waliopo TRA hawaliwi? UmeyumbaTatizo mama ntilie na wafanya usafi maofisini wanaliwa sana kimasihara...... naturally wanaume hatupendi kushare
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hao mama lishe na wauza mkaa wamejichokea?Ah kumbe na nyie inawauma eeh... Basi ata sie mkituuliza hela unayo alafu tukajibu hatuna sii mnakatisha mawasiliano.... Haman mtu anayetaka kuwa associated na mtu aliyejichokea. Works both sides
Namfaham huyu dada anauza mkaa pale kona. Ila anajipenda sana wala uwezi jua anauza mkaa
Kwa hiyo hao mama lishe na wauza mkaa wamejichokea?
Hahahhaa eti hautaki kushare acha zako bwana wanaume tunapenda sana kushare ndio maana tukipewa papuchi na mke wa mtu tunaigegedaTatizo mama ntilie na wafanya usafi maofisini wanaliwa sana kimasihara...... naturally wanaume hatupendi kushare
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalaam!
Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au kazi yoyote zile zinazoonekana hazina hadhi, wewe unamkwepa na kama mlikuwa mnawasiliana unakata mawasiliano kwa nini?
Kwamba wenye kazi hizo tajwa hapo juu ni vimeo, au hawana hadhi au wana nini? Mnataka mdanganywe ooh, mi ni banker, teller, nna botique yangu sinza niko TRA pale makao makuu! Alafu mkija kugundua ukweli mnawalaumu wanawake wana fake maisha?
So which is better kwenu hebu wekeni wazi, tuendelee kuwadanganya ili twende sawa au tuwe wakweli tu?
Majibu yenu ni muhimu.
Have a good time to finalize the weekend!
[emoji8]