Huko kutakuwa kubaka aisee sidhani kama atakuwa ameridhiaNdio ataweza kula kiraisi kabisa, kwasababu yeye atataka kujua ni zawadi gani ambayo ameandaliwa Sasa hiyo nafasi ya kuja kuiona hiyo zawadi unamlengesha Getto directly mpaka ndani
Sasa ndio ujue sijadanganya kwa kuwa nami pia nalijua hiloMimi Sintofaidika na chochote ila kumbuka kuna maisha mengine Baada ya huu uhai uliokuwa nao leo.
[emoji41]Nina imani anajipanga akija amekuja ili ajue namna ya kuzuia mashambulizi
huyu atakuwa alitaka mtafuna tu si kwa malengoKwa hiyo umekosa njia nyingine ya kufanya kwa taarifa yako hapo ndio umeharibu kabisa.
Mana mwisho atakuona bonge la msanii na ndio utakuwa umempoteza kabisaa
mmmmh...Sasa ulivyosema kwa wanaume tu sasa wakija kwenye hii thread yako wachangie nini?Au umewaita wasome story yako au wakusaidieje?
Ww umefata nn huku.. Hii n kwa wanaume tuSasa ulivyosema kwa wanaume tu sasa wakija kwenye hii thread yako wachangie nini?Au umewaita wasome story yako au wakusaidieje?
Mwanaume huwezi kutumia jina hilo Honey FaithMie mwanaume ila nimeshindwa kukuelewa
Umeonaee.huyu atakuwa alitaka mtafuna tu si kwa malengo
Dawa ya kuwala nyinyi ni kuwadanganya tu,, hii njia ni nzuri sana kama hana future na huyo kigori.. Usawa huu Wa magu kweli unafuatwa miezi bado hueleweki.Kwa hiyo umekosa njia nyingine ya kufanya kwa taarifa yako hapo ndio umeharibu kabisa.
Mana mwisho atakuona bonge la msanii na ndio utakuwa umempoteza kabisaa